Bayana Ya Zaka Na vipimo vake

ردّ الإمام المهديّ إلى علي بن علي، ومرةً ثانية لن أجادلك إلا باسمك الرباعي وصورتك الحقّ ..
الإمام ناصر محمد اليماني
19 – رمضان - 1438 هـ
14 – 06 – 2017 مـ
03:51 مساءًا
( بحسب التقويم الرسمي لأمّ القرى )
___________________

Amerudisha Jibu Al'imam Al'Mahdi Kwa Ali Bin Ali, Na Kwa Mara Ya Pili Sitokujadili ila kwa Majina Yako Yote Ma Inne Na Picha Yako Ya Kweli..

Bismillah Al'Rahman Al'Rahim, Na Swala Na Salam Juu Ya Wote Ma'Nabi Na Mitume kutoka Wa Mwanzo Wao Mpaka Aliokhitimisha Muhammad Mtume Wa Allah Na Alhim Na Wote Waumini, Ama Ba'ada Ya Hapo..

Na Nasema Ewe Ali Bin Ali Kwa Mara Ingine Sitojadiliana Na Wewe Ila Kwa Ma'Jina Yako Yote Ma'inne Na Picha Yako Ya kweli, ispokua Mimi nakuona wataka Kuvisha Haki kwa batili katika zaka za Fungu la Kumi katika dhahabu na umejaribu kuiba tarifa kwa simu ama moja kwa njia yako na hatukukufaidisha na kitu ispokua yale tulio andika, Na ulikua wajaribu kufahamu mizani za zamani na majina yake na hatukukupa fatwa kwakua haijatimu kuteremka kwake bado kwenye bayana, Na Alafu twasmamisha hoja kwa haki na nasema: Lawu ingekua unataka haki kwanini wawacha zaka zote zingine kwa'kua nazo ni hivo hivo ni Fungu la kumi ni Faradhi katika wanyama na Matunda? Na Kwa mfano zaka za Mbegu katika Viteko vikumi kiteko kimoja; Yani Kiteko cha kumi ndio Fungu la kumi, Na Vitekeo Shirini Mfuko Wa Kiwango Ya Vitekeo Viwili, Kwakua Vitekeo Shirini Inafikiana Na Mifuko Kumi Za Mbengu Ya Nganu Na Nyinginezo, Yani Zaka Yake Ni Mfuko Wa Kumi.

Na kuhusiana Nisab Fungu La wanyama, Basi Nisab Yake Ni Fungu Lake La kumi iwe Sawa Katika Ngombe Ama Mbuzi Ama Kondo Ama Ngamia Basi Nisabu Yake Hivo Hivo Fungu la Kumi, Na Nisabu Yake Kwa Mwaka Wala sio Pindi kukivunwa.

Na Kuhusiana Na Ma'mizani, Basi Kila Umma Ina Jina Lake Na Walikua Warabu Wanaita Miligram Ni Alnaqir, Ama Gramu Moja wanaita Qitmir, Ama Kilo Gram Moja Wanaita Qintaran. Kusadikisha Kauli Ya Allah Ta3ala:

{وَإِنْ أَرَدْتُمُ اسْتِبْدَالَ زَوْجٍ مَكَانَ زَوْجٍ وَآتَيْتُمْ إِحْدَاهُنَّ قِنْطَارًا فَلا تَأْخُذُوا مِنْهُ شَيْئًا أَتَأْخُذُونَهُ بُهْتَانًا وَإِثْمًا مُبِينًا ( 20 ) وَكَيْفَ تَأْخُذُونَهُ وَقَدْْ أَفْضَى بَعْضُكُمْ إِلَى بَعْضٍ وَأَخَذْنَ مِنْكُمْ مِيثَاقًا غَلِيظًا ( 21 )}

صدق الله العظيم [النساء].
Allah Ta3ala Aema:{ Na mtakapotaka kubadilisha mke mahali pa mke, na mkawa mumempa mmoja wao "Qintaran", basi msichukue katika mlichowapa. Je, mnakichukua kwa dhulma na kwa makosa yaliyo wazi (20) Mtachukuaje na hali mmeingiliana na hali wao wamechukua kwenu agano madhubuti (21)} Sadaqa Allah Al3adhim [Alnisa].
Na Kwajili Ya Hivo Imekuja Uzito wa Mizani Tatu Katika kitabu Na Katika Kauli Ya Allah Ta3ala:

{أَمْ لَهُمْ نَصِيبٌ مِنَ الْمُلْكِ فَإِذًا لَا يُؤْتُونَ النَّاسَ نَقِيرًا}
صدق الله العظيم [النساء:53]،
Allah Ta3ala Asema:{ Au wao wana fungu katika ufalme Basi hapo wasingewapa watu (Naqira)} Sadaqa Allah Al3adhim [Alnisa:53].
Na Hio "Naqira" Ni Wanao ita leo Miligram.

Ama Paundi Ya Dhahabu Walikua Waki'ita Dinari, Na Ama Inaotumika Fidha Basi Wanaita Darhaman, Na ile inao tuhimu Ni Fungu La Kumi Katika Dhahabu Na Fidha, Na Kadhalika imetaja Kitabu Uzito Wa Chembe Ambao Haionekani Kwa Macho ya Kawaida Na Inakuwa Kutokana Na Hio Sehemu ya Ulimwengu, Kusadikisha Kauli Ya Allah Ta3ala:
{قُلِ ادْعُوا الَّذِينَ زَعَمْتُم مِّن دُونِ اللَّهِ ۖ لَا يَمْلِكُونَ مِثْقَالَ ذَرَّةٍ فِي السَّمَاوَاتِ وَلَا فِي الْأَرْضِ وَمَا لَهُمْ فِيهِمَا مِن شِرْكٍ وَمَا لَهُ مِنْهُم مِّن ظَهِيرٍ (22)} صدق الله العظيم [سبأ].
Allah Ta3ala Asema:{ Sema: Waombeni hao mnaodai kuwa ni badala ya Mwenyezi Mungu. Hawamiliki hata chembe katika mbingu wala ardhini. Wala hawana ushirika wowote humo. Wala hawana msaidizi miongoni mwao (22)} Sadaqa Allah Al3adhim [Sabaa].

Na ili tusitoke Kwa maudhui lakini ambao tuna umuhimu Nayo Ni fungu la kumi iwe sawa kwenye dhahabu ama fedha ama katika wanyama ama katika mbengu ama katika mbonga, Na Sio katika usahihi Sharti katika kupima kwakua hio inarudi kulingana na walionacho umma katika tkinia ya usahihi wa kupima, Basi Hakalifishi Allah Nafsi Ila Ni kiasi chake; Bali kiyasi ya uwezo unavo weza, Na Kwa Mfano Anao Moja Wenu Mimea Mia katika Zabibu ikaja mavuno yake akahisabu mwenye bustani la mazabibu ndani yake Mimea kumi kwa idadi, Yani Mimea Kumi Ambao anaona katika mimea yalio beba zabibu, Yani yamebeba zabibu sio ile mbaya katika hizo, Alafu Akazitunda kuwapa maskini Katika Watu Wa Kijiji Chake Akauza ingine kwa Wano weza kwakua mbonga na matunda Yanaharibika lau itatimu kuikabidhisha katika betulmal ya Waislamu, Na labda anataka moja katika waulizaji aseme:" Na kwanini sharti iwe ni katika miti ilio beba zabibu?" Na Alafu Natosheka Na Kurudisha Jibu kutoka kwa Allah Ta3ala:

{لَن تَنَالُوا الْبِرَّ حَتَّىٰ تُنفِقُوا مِمَّا تُحِبُّونَ ۚ وَمَا تُنفِقُوا مِن شَيْءٍ فَإِنَّ اللَّهَ بِهِ عَلِيمٌ (92)}
صدق الله العظيم [آل عمران].

Allah Ta3ala Asema: { Hamtapata wema mpaka mtoe katika vile mnavyovipenda; na chochote mnachokitoa, basi hakika Mwenyezi Mungu anakijua (92)} Sadaqa Allah Al3adhim [Alimran].
Na Ewe Ndugu Yangu Mkarimu ikiwa wewe Ni mtafiti wa haki basi angalia nafsi yako na jee unataka haki na unatamani kuifwata? Basi hakika hatimai atakuonesha Allah kwenye haki, Na ama watafuta vipenyenye unazidhani basi utanguka katika mtego na wala hatokuongoa Allah kabisa, Basi kua mkweli kwa Allah Atakusadiki, Na ujuwe kwamba Allah ajua yaliomo katika nafsi yako basi kuwa na tahadhari nae, Kusadikisha kauli ya Allah Ta3ala:
{وَاعْلَمُوا أَنَّ اللَّهَ يَعْلَمُ مَا فِي أَنفُسِكُمْ فَاحْذَرُوهُ ۚ وَاعْلَمُوا أَنَّ اللَّهَ غَفُورٌ حَلِيمٌ (235)}

صدق الله العظيم [البقرة].
Allah Ta3ala Asema:{ Na mujuwe hakika Allah anajua yaliomo katika nafsi zenu basi kuweni na tahadhari nae na mujuwe kwamba Allah ni Ghafuron Halimon (235)} Sadaqa Allah Al3adhim [Albaqara].

Kwakua wewe waona ilimu ya Al'imam Al'Mahdi Al'Muntadhar Bahari inao'miminika ispokua ni bahari tamu yapita kunwa kwake wala sio chunvi chungu, Na yatembea kutoka inapo toka kwa idhini ya Allah mpaka Anapotaka Allah! Wala hatutopunguza katika haki ya wanazuoni basi hakika wanayo kitu katika haki na batili hajateremsha Allah nayo utawala, Lakini nayo imechanganya haki na batil, Lakini Al'imam Al'Mahdi bahari ya ilimu yake; Ni bahari tamu yote; Kheri nyingi na safi imesafishwa kama mfano wa kauli ya Allah Ta3ala:

{وَمَا يَسْتَوِي الْبَحْرَانِ هَٰذَا عَذْبٌ فُرَاتٌ سَائِغٌ شَرَابُهُ وَهَٰذَا مِلْحٌ أُجَاجٌ ۖ وَمِن كُلٍّ تَأْكُلُونَ لَحْمًا طَرِيًّا وَتَسْتَخْرِجُونَ حِلْيَةً تَلْبَسُونَهَا ۖ وَتَرَى الْفُلْكَ فِيهِ مَوَاخِرَ لِتَبْتَغُوا مِن فَضْلِهِ وَلَعَلَّكُمْ تَشْكُرُونَ (12) يُولِجُ اللَّيْلَ فِي النَّهَارِ وَيُولِجُ النَّهَارَ فِي اللَّيْلِ وَسَخَّرَ الشَّمْسَ وَالْقَمَرَ كُلٌّ يَجْرِي لِأَجَلٍ مُّسَمًّى ۚ ذَٰلِكُمُ اللَّهُ رَبُّكُمْ لَهُ الْمُلْكُ ۚ وَالَّذِينَ تَدْعُونَ مِن دُونِهِ مَا يَمْلِكُونَ مِن قِطْمِيرٍ (13)}
صدق الله العظيم [فاطر].
Allah Ta3ala Asema:{ Na bahari mbili haziwi sawa; hii ni tamu mno, kinywaji chake kinateremka uzuri, na hii ni chumvi sana. Na kutokana na zote, mnakula nyama freshi. Na mnatoa humo mapambo mnayoyavaa. Na unaona vyombo vikikata maji humo, ili mtafute fadhila Yake na mpate kushukuru (12) Anauingiza usiku katika mchana na anauingiza mchana katika usiku. Na amelitiisha Jua na Mwe zi, kila kimoja kinaendelea mpaka muda uliotajwa. Huyo Ndiye Mwenyezi Mungu, Mola Wenu. Ufalme ni Wake. Na wale mnaowaomba badala Yake hawamiliki "Qitmir" (13)} Sadaqa Allah Al3dhim [Fatir].

Na Narudi Na Nasema Lakini inao tuhimu sisi Katika hi bayana ni kumi fungu la kumi katika kila kitu ndani yake nisab, Na Alafu tunakuja katika bayana ya kauli ya Allah Ta3ala:

{وَالَّذِينَ يَكْنِزُونَ الذَّهَبَ وَالْفِضَّةَ وَلَا يُنفِقُونَهَا فِي سَبِيلِ اللَّهِ فَبَشِّرْهُم بِعَذَابٍ أَلِيمٍ (34) يَوْمَ يُحْمَىٰ عَلَيْهَا فِي نَارِ جَهَنَّمَ فَتُكْوَىٰ بِهَا جِبَاهُهُمْ وَجُنُوبُهُمْ وَظُهُورُهُمْ ۖ هَٰذَا مَا كَنَزْتُمْ لِأَنفُسِكُمْ فَذُوقُوا مَا كُنتُمْ تَكْنِزُونَ (35)}
صدق الله العظيم [التوبة].

Allah Ta3ala Asema:{ Na wale walimbikizao dhahabu na fedha na hawazitumii katika njia ya Mwenyezi Mungu, basi wabashirie adhabu iumizayo (34) Siku zitakapotiwa katika moto wa Jahannam, na kwazo vitachomwa vipaji vya nyuso zao na mbavu zao na migongo yao. Haya ndiyo mliyojilimbikizia, basi onjeni yale mliyokuwa mkiyalimbikiza (35)} Sadaqa Allah Al3adhim [Altawuba].

Na Suali Lajitokeza lenyewe:Na jee Amewamuru Allah Kutowa Mali zenu Zote Mpaka Aseme Allah Ta3ala
{وَالَّذِينَ يَكْنِزُونَ الذَّهَبَ وَالْفِضَّةَ وَلَا يُنفِقُونَهَا فِي سَبِيلِ اللَّهِ فَبَشِّرْهُم بِعَذَابٍ أَلِيمٍ (34) يَوْمَ يُحْمَىٰ عَلَيْهَا فِي نَارِ جَهَنَّمَ فَتُكْوَىٰ بِهَا جِبَاهُهُمْ وَجُنُوبُهُمْ وَظُهُورُهُمْ ۖ هَٰذَا مَا كَنَزْتُمْ لِأَنفُسِكُمْ فَذُوقُوا مَا كُنتُمْ تَكْنِزُونَ (35)} صدق الله العظيم؟
Allah Ta3ala Asema:{ Na wale walimbikizao dhahabu na fedha na hawazitumii katika njia ya Mwenyezi Mungu, basi wabashirie adhabu iumizayo (34) Siku zitakapotiwa katika moto wa Jahannam, na kwazo vitachomwa vipaji vya nyuso zao na mbavu zao na migongo yao. Haya ndiyo mliyojilimbikizia, basi onjeni yale mliyokuwa mkiyalimbikiza (35)} Sadaqa Allah Al3adhim ?
Basi Peleleza {يُنفِقُونَهَا} {Wanazitowa} Yani wazitowe zote, Lakini Allah Hakuwamuru ispokua kutowa fungu la kumi katika zilio wekwa Kusadikisha Kauli Ya Allah Ta3ala:
{وَالَّذِينَ فِي أَمْوَالِهِمْ حَقٌّ مَّعْلُومٌ (24) لِّلسَّائِلِ وَالْمَحْرُومِ (25)} صدق الله العظيم [المعارج].
Allah Ta3ala Asema:{ Na Wale Katika Mali Yao Kuna Haki Ilio Na Alama (24) Kwa anae uliza na alie nyimwa (25)} Sadaqa Allah Al3adhim [Alma3arij].
Na Vile ilio na alama Ni fungu la kumi Kusadikisha Kauli Ya Allah Ta3ala:

{مَن جَاءَ بِالْحَسَنَةِ فَلَهُ عَشْرُ أَمْثَالِهَا ۖ وَمَن جَاءَ بِالسَّيِّئَةِ فَلَا يُجْزَىٰ إِلَّا مِثْلَهَا وَهُمْ لَا يُظْلَمُونَ (160)}
صدق الله العظيم [الأنعام]،
Allah Ta3ala Asema:{ Mwenye Kuja Na Jema basi yake ni kumi mfano wake na mwenye kuja kwa ovu basi hapewi jaza ispokua mfano wake na wao hawadhulumiwi (160)} Sadaqa Allah Al3adhim [Alan3an].
Basi Hakuna Mngongano katika kitabu cha Allah ewe Ali, Lau hutoamini kwa hi Aya basi nakupa changa Moto kwamba utubainishie kilio kusudiwa Kwenye Kauli Ya Allah Ta3ala:
{وَالَّذِينَ يَكْنِزُونَ الذَّهَبَ وَالْفِضَّةَ وَلَا يُنفِقُونَهَا فِي سَبِيلِ اللَّهِ فَبَشِّرْهُم بِعَذَابٍ أَلِيمٍ (34) يَوْمَ يُحْمَىٰ عَلَيْهَا فِي نَارِ جَهَنَّمَ فَتُكْوَىٰ بِهَا جِبَاهُهُمْ وَجُنُوبُهُمْ وَظُهُورُهُمْ ۖ هَٰذَا مَا كَنَزْتُمْ لِأَنفُسِكُمْ فَذُوقُوا مَا كُنتُمْ تَكْنِزُونَ (35)} صدق الله العظيم [التوبة].
Allah Ta3ala Asema:{ Na wale walimbikizao dhahabu na fedha na hawazitumii katika njia ya Mwenyezi Mungu, basi wabashirie adhabu iumizayo (34) Siku zitakapotiwa katika moto wa Jahannam, na kwazo vitachomwa vipaji vya nyuso zao na mbavu zao na migongo yao. Haya ndiyo mliyojilimbikizia, basi onjeni yale mliyokuwa mkiyalimbikiza (35)} Sadaqa Allah Al3adhim [Altawuba].

Na Jee Amewa'amuru Allah Amri Ya Lazima Kua Mutowe Mali Yenu Yote?
Na Jibu Katika Muhakam Ya Kitabu Katika Kauli Allah Ta3ala:

{وَالَّذِينَ فِي أَمْوَالِهِمْ حَقٌّ مَّعْلُومٌ (24) لِّلسَّائِلِ وَالْمَحْرُومِ (25)}
صدق الله العظيم [المعارج].
Allah Ta3ala Asema:{ Na Wale Katika Mali Yao Kuna Haki Ilio Na Alama (24) Kwa anae uliza na alie nyimwa (25)} Sadaqa Allah Al3adhim [Alma3arij].

Kwahivo Ni ngapi ilio na alama? Na Jibu: Lakini hapana budi hatimai iwe Ni Fungu la kumi halizidi halipungui Faradhi Ya Zaka, Basi Akitoa Fungu la kumi kwavile jema ya Kufaridhia Ni Kumi Mfano wake basi ni kama alio towa Mali yake yote, Basi angetowa Gramu Kumi katika kila gramu mia katika dhahabu ama fedha na kwa vile jema ni kwa kumi basi itandikwa kwake kama alio towa yote gramu mia, Na Hio ndio Bayana ya haki katika kauli ya Allah Ta3ala:

{وَالَّذِينَ يَكْنِزُونَ الذَّهَبَ وَالْفِضَّةَ وَلَا يُنفِقُونَهَا فِي سَبِيلِ اللَّهِِ فَبَشِّرْهُم بِعَذَابٍ أَلِيمٍ (34) يَوْمَ يُحْمَىٰ عَلَيْهَا فِي نَارِ جَهَنَّمَ فَتُكْوَىٰ بِهَا جِبَاهُهُمْ وَجُنُوبُهُمْ وَظُهُورُهُمْ ۖ هَٰذَا مَا كَنَزْتُمْ لِأَنفُسِكُمْ فَذُوقُوا مَا كُنتُمْ تَكْنِزُونَ (35)}
صدق الله العظيم [التوبة].
Allah Ta3ala Asema:{ Na wale walimbikizao dhahabu na fedha na hawazitumii katika njia ya Mwenyezi Mungu, basi wabashirie adhabu iumizayo (34) Siku zitakapotiwa katika moto wa Jahannam, na kwazo vitachomwa vipaji vya nyuso zao na mbavu zao na migongo yao. Haya ndiyo mliyojilimbikizia, basi onjeni yale mliyokuwa mkiyalimbikiza (35)} Sadaqa Allah Al3adhim [Altawuba].

Na Salamon Juu Ya Mitume, Na Al'Hamdulillah Rabi Al3amin..
Khalifa Wa Allah Na Mja Wake Al'imam Al'Mahdi Nasser Muhammad Al'Yamani.

خليفة الله وعبده الإمام المهديّ ناصر محمد اليماني.
___________________

https://albushra-islamia.org./showthrea...AD%D9%82%D9%91