Alhiikma Alilahiya fi tariqat Altabligh
Hikma Ya Mola Mlezi Katika Njia Namna Ya Kubalighisha
Al'IMAM NASSER MUHAMMAD AL'YAMANI
الإمام ناصر محمد اليماني
22 - 10 - 1432 هـ
21 - 09 - 2011 مـ
12:56 صباحاً
ـــــــــــــــــــــ
بسم الله الرحمن الرحيم، والصلاة والسلام على كافة أنبياء الله ورسله وآلهم الطيبين والتابعين لهم بإحسانٍ إلى يوم الدين، أما بعد..
Wapendwa wangu Al anssar Alsabiqin Alakhyar katik zama za mazungumzo na maelezo kabla ya kudhihirika,
Na hivi mushaona kwanini hajafanya Alimam Almahdi mpaka sasa ktowa bayan kwa sauti na sura, kuwa maaduwi wa Allah wale ambao wanataka kuzima nuru ya Allah watanzisha kuzawirisha kwa mitambo na kuweka sura zangu zilo hai lakini kwa sauti sio yangu, alafu waseme ju ya imam kwa sauti ingine ile ambao hakusema Alimam Almahdi Almuntadhar Nasser muhammad Al'Yamani, alfu waeneze uzushi wao katika mitandao ya internet kwa linki zote na tuli7hadhirisha jambo hilo kwakua tumiwaona wakiandika moja katika mabayana watia uzushi hautoki kwetu lakini atakae kujuwa hizo bayana zatoka kwa Almahdi aingie kwa mtandao wake ataona ukwili kama yatoka kwake na uhakikishe unigie kwa inwani yake sahihi ambao ni hi"(موقع الإمام المهدي ناصر محمد اليماني منتديات البشرى الإسلامية)
Ndio atagunduwa tazwiri ikiwa kuna tazuwiri ,
Na enye wapendwa wangu ma Al anssar Alsabiqina Alakhyar tallahi sijawahi rikodi sauti yangu kabisa katika internet ya ulimwwngu kutoka mwanzo wada3wa Almahdia kwa ulimwengu na mwajuwa sababu ni nini? kwajili Allah aminionesha niwe nismame kuzungumza na kuwalika kwa njia ya kuwandikia na kalamu ilio haina sauti, na nilikuwa sijajuwa kuna 7hikma gani ndani yake lakini mm nilitekeleza Amri ya mola wangu mlezi yeye ndio mjuzi mwenye 7hikma, na nikajuwa 7hikma yake kuwa wengi wenye kupenda kujadili hawatoweza kumkatia mazungumzo Alimam Almahdi Nasser Muhammad Al'Yamani, na hana njia ispokuwa awe apeleleze kaw kina na huku asoma kikamilifu bayana ya Alimam Almahdi Almuntadhar Nasser Muhamad Al'Yamani ili ibainike kwao je yuwatamka kwa haki ama ni wale wanaocheza. kwa hi njia tulismamisha hoja kwa haki ju ya wanazuoni wa umma wale Allah alowadhihirisha kwetu wakawa wako katika ya wasiwasi kwa jambo hili wamibaki na shaka ndani ya moyo zao hawajuwi wafanye nini na kushangazwa wengi kati yao je Nasser Muhammad Al'Yamani ndio Almahdi Almuntadhar? ikawa shaka wanayo kuwa Alimam Nasser Muhammad Yeye ndio Almahdi Almuntadhar ndio ni shaka na inafaata yaqin, kwajili ya hayo ndio utaona wanazuoni wa umma hawatowi fatwa kwa raia zao kuwa Nasser Muhammad Alyamani si mahdi wala kuwambia waislamu musifwate Alimam Almahdi Almuntadhar Nasser Muhammad Al'Yamani kuwa wamipata atamka haki, kwajili ya hio waminyamaza kutowa fatwa khusu Alimam Nasser Muhammad hawakusema la lakheri wala kwa shari, na bado wako kwenye reiyb na shaka kuwa kujiuliza mara kwa mara je Nasser Muhammad Alyamani ndio Almahdi Almuntadhar? ama sio Almahdi Almuntadhar? na kutoka hapo Alafu nawajibu
Ya ma3shara 3ulama Alumma enye wanazuoni wa umma hakika tatizo lenu kuwa hamujuwi vipi mumjuwe Almahdi Almuntadhar yule wa haki pindi anapo tumilizwa na Allah katika kadar yake alokadiriwa katika kitabu kilopimwa, alafu kutoka hapo anawapa ufafanuzi Alimama Nasser Muhammad Al'Yamani kwa haki na tunasema; njoni tutumie akili na mantiq ndio nitafafanulia akili zenu kwa haki je katika akili na mantiq kutumilizwa na Allah Alimam Almhadi kwa ushi3a na alinganie watu waingie kwa ushi3a, ama atumilizwe kwa alsunna waljama3a alinganie watu nakuwalika wafwate alsunna na Aljama3a awu katika madhehebu na mapoti mingine
Alinganie na kuwalika kuwafwata?, ju yakuwa mulitenga dini yenu mukawa mapoti na kila poti linasema wao wako katika haki na kila poti laitakidi kuwa Allah atamtumiliza Almahdi Almuntadhar katika poti lao kwakuwa wanaitakidi kuwa wao wako katik haki na mapoti mingine ni ya motoni,
Na kutoka hapo anawapa Jibu Nasser Muhammad Al'Yamani na nasema: mahdi gani huyo atakae fwata moja kati ya mapoti ya ki'islamu, na tallahi hawzi kuwaletea umoja na kuwafanya mstari wao moja na kuwafanya neno lao moja hata lau kama ataishi umri wa mahdi wa kishia ambae ni mzushi basi hamupati akili inye umma wakislamu? lakini mimi ndio Almahdi Almuntadhar Nasser Muhammad na la3na za Allah ju ya yule anae mzulia Allah urongo, na wallah yule ambae hapana mola anae paswa kuambudiwa ispokuwa Allah, sitowahi wala haitotokea kufwata hawa zenu matamanio yenu madamu niko hai na wajuwa kwa nini?
Kwajili mimi lau nitawafata uzushi wenu alfu nikashindwa kuvumilia kwa makundi mengine basi nitakuwa mwenye kuadhibiwa, na najilinda kwa Allah niwe kati ya majahili, basi vipi nifwate matamanio yenu niende kinyume na Amri za Allah katika kuhukumu kitabu chake katika kauli yake في قول الله تعالى
{وَلَا تَكُونُوا كَالَّذِينَ تَفَرَّقُوا وَاخْتَلَفُوا مِنْ بَعْدِ مَا جَاءَهُمُ الْبَيِّنَاتُ وَأُولَئِكَ لَهُمْ عَذَابٌ عَظِيم} [آل عمران:105].
{وَاعْتَصِمُوا بِحَبْلِ اللَّهِ جَمِيعًا وَلَا تَفَرَّقُوا} [آل عمران:103].
Allah Ta3ala Assma:{ Na Wala Musiwe kama wale ambao wametengana na wakakhitalfiana ba'ada ilipo wajia bayana na hao watapata adhabu chungu} [Alimran:103].
{إِنَّ اللَّهَ يُحِبُّ الَّذِينَ يُقَاتِلُونَ فِي سَبِيلِهِ صَفًّا كَأَنَّهُمْ بُنْيَانٌ مَرْصُوصٌ} [الصف:4].
Allah Ta3ala Asema:{ Hakika Allah Anapenda Wanao Pigana Kwenye Njiya Yake Safu Moja Kama Kwamba Ni Jengo Lilio Pangwa } [Alsaf:4]
{وَأَطِيعُواْ اللَّهَ وَرَسُولَهُ وَلاَ تَنَازَعُواْ فَتَفْشَلُواْ وَتَذْهَبَ رِيحُكُمْ} [الأنفال:46].
صدق الله العظيــــــم
{ Na mumti'i Allah Na Mtume Wake Wala Musigombane Ndio Mutashindwa Alafu itaondoka Nguvo Yenu} [ Alanfal:46].
Sadaqa Allah Al3adhim.
Lakini mulitengana muka ikhtalifiana mukawa hamuna nguvu kama mulivo hali yenu sasa basi hamuti akili ?
Sasa enye waislamu mulifarakanisha dini yenu mapoti na viyama na kila poti na chama kwa yale waloshikilia wanafurahia, na haiwezi kuwa imam Almahdi wa haki kutoka Mola wenu amchaguwe Allah awe ni mweny kufwata matamanio yenu basi hataongeza ila kipoti kipyaa ama atafanya madhehebu kama walivo fanya viongozi weno mulowachaguwa kutokana na nafsi zenu, hamujuwi kuwa sababu ya kufarikiana na kutengana ni sababu ya fatwa ya kuwa na madhehebu tafauti katika Dini ya Allah kufwata hadithi ya shetani ambazo hazitoki kwa Allah na Mtume wake kutoka kwa Mtume Swala Allahu Aleyhi Wa Alihi Wa Salam Anasema:[ ikhtilafu kwa umma wangu ni rahma] basi ikowapi rahma na iko wapi hio kheri basi hamuwezi kuogopa? bali anataka shetan mu'assi Amri ya Allah katika ayat muhakamat kwenye kitabo chake:وَلَا تَكُونُوا كَالَّذِينَ تَفَرَّقُوا وَاخْتَلَفُوا مِنْ بَعْدِ مَا جَاءَهُمُ الْبَيِّنَاتُ وَأُولَئِكَ لَهُمْ عَذَابٌ عَظِيمٌ} صدق الله العظيم [آل عمران:105].
Allah Ta3ala Asema:{ Na Wala Musiwe kama wale ambao wametengana na wakakhitalfiana ba'ada ilipo wajia bayana na hao watapata adhabu chungu} [Alimran:103].
Lakini mimi ndio Alimam Almahdi Almuntadhar ajili munisadikishe katika zama za mazungumzo kabla ya kudhihirika natangaza kuharamisha kuwa na madhehebu yoyote katika Dini ya Kislamu katika jina lolote linalo jinasibisha madh'hebu, na nasema: mimi Alimam Almahdi Nasser Muhammad Alyamani 7hanifan Musliman na mimi si katika washirikina, nawalika wote wlogawanya Dini yao mapoti katika waislamu na manasara na mayahudi na watu wote kwa jumla kuwa tuje kwa neno moja kwa walimwengu kuwa tumwabudu Alllah pekeyake wala tusimshirikishe na yeye kitu wala tusifanye kuwa badhi yetu watushufaie mbele ya Allah, na mujuwe kuwa Allah ndio Arhama Alrahimin basi musiombe pamoja na Allah yoyote wala hamutopata kwenu mbali na yeye usaidizi,
Labda huwenda moja kati ya wanazuoni wa umma kutaka kunikatiza na aseme: ewe Nasser Muhammad Alyamani hakuna budi kuikhtalifiana kati ya wanazuoni kuwa wao wajitahidi kwajili ya hio ndio utaona mwanachuoni akimaliza kutowa fatwa yake akisema nikipata basi kutoka kwa Allah nikikosa basi nikutoka nafsi yangu na shetan, bada hapo Anarudisha Jibu Alimam Almahdi Nasser Muhammad Alyamani na nasema: na nani alowambia kuwa fatwa katika Dini ya Allah ni kwa ijtihad? basi njoni niwafundishe nini mnake ijtihad: ni kutafuta haki mpaka ayipate mwenye kutafuta haki kwa ilimu na sultan utawala wa ilimu ilo wazi kutoka kwa Mola Mlezi ambayo haiwezi kupata shaka ndani yake alinganie kwa njia ya Allah kwa basira kutoka kwa Allah, lakini munafwata dhana ambao haisaidi katika haki kitu na mwaona mumiongoka, basi hata hamuwii na akili?
Enye wanazuoni wa kislam na umma wao munaona kuwa hakika Nasser Muhammad Alyamani anatangaza matokeo ya mazungumzo baina yeye na wanazuoni wa umma kabla ya mazungumzo na ansema: nipeni ruhusa nitangaze na kutoka sasa mutapata Nasser Muhammad yeye ndio amitawala kwa sultan utawala Alhaaq kutokana na Al'Quran ilowazi tukufu, alafu kutoka hapo itabainika kwenu kuwa Nasser Muhammad Alyamani hakusema hivo kwa kujiskia bali kwa kuwa mimi najuwa kwa yaqin kuwa mimi kwa haki ndio Alimam Almahdi Nasser Muhammad sisemi ju ya Allah na Mtume wake ila haki hapana shaka wala Utaetanishi, hamutopata mimi nikisema kama munavo sema kuwa nikipata basi kutokana na Allah na nikikosa basi kutokana na nafsi yangu na shetan! na najilinda kwa Allah nisiwe kati ya wale wanaosema ju ya Allah wasolijuwa; bali hakika ukweli sisemi ju ya Allah ila haki basi hamukumbuki?
Na mwenye kukadhibisha kati ya wanzuoni wakislamu alojaribu mazungumzo na Almahdi Almuntadha Nasser Muhammad Alyamani katika meza ya mazungumzo ya ulimwengu(موقع الامام المهدي ناصرمحمد اليماني منتديات البسر الاسلاميه).
Na hivi twaingia mwisho wa mwaka wa saba kwa mwaliko wa umahdi wakilimwengu kupitia njia ya intarnet ya ulimwengu, nawalika waislamu na manasara na mayahudi na watu wote duniani kuhukumiana kwa kitabu cha Allah Alquran Al3adhim kwa yale mulo ikhtalifiana katika tawurati na injili na Alsunna Alnabawia basi hamtopata kuona Alimam Almahdi akikufurisha ila yale yanao ikhtalifiana na muhkam Ayat katika Alquran Al3adhim sawa iwe katika tawurati ama iwe katika injili ama katika Alsunna Alnabawia alfu mutanipata nashikila ayat muhakamat pindi nikiona inakhalifu muhkamat yake iwe ni tawurati ama iwe ni injili ama ni Alsunna Alnabawia kwa kuwa mimi ndio Alimam Almahdi kwa haki sipingi kilo kuja kwa haki ndani ya Altawarat na Alinjil na katika Alsunna Alnabawia ila tu nakufurisha yote yale yaliokuja kinyume na muhakamat katika kitabu Alquran Al3adhim, na mwajuwa kwa nini? kwajili Altawurat na Alinjil na Alsunna ya bayan Alnabawi hazikuhifadhiwa kutokana na upotofu na kuongezwa na kupunguzwa na kufanya tazyif kwakuwa mashetani watu katika ahlualkitab wanabadilisha maneno ya Allah katika tawurati na injili wanadika maneno kutoka kawao ili muone kutoka kwa Allah na haitoki kwa Allah kama alivo sema mola mlezi katika Alquran tukufu akisema,
وقال الله تعالى: {وَإِنَّ مِنْهُمْ لَفَرِيقًا يَلْوُونَ أَلْسِنَتَهُم بِالْكِتَابِ لِتَحْسَبُوهُ مِنَ الْكِتَابِ وَمَا هُوَ مِنَ الْكِتَابِ وَيَقُولُونَ هُوَ مِنْ عِندِ اللّهِ وَمَا هُوَ مِنْ عِندِ اللّهِ وَيَقُولُونَ عَلَى اللّهِ الْكَذِبَ وَهُمْ يَعْلَمُونَ} [آل عمران:87].
Allah Ta3ala Asema:{ Na hakika miongoni mwao kipoti wanagauza ndimi zao kwenye kitabu ilo muoni ni kutoka kwa kitabu nayo sio kitoka kwa kitabu na wanasema hio ni kutoka kwa Allah wala sio Kutoka kwa Allah na wanasema juu ya Allah urongo na wao wana jua} Sadaqa Allah Al'3adhim [Alimran:87].
وقال الله تعالى: {فَوَيْلٌ لِّلَّذِينَ يَكْتُبُونَ الْكِتَابَ بِأَيْدِيهِمْ ثُمَّ يَقُولُونَ هَذَا مِنْ عِندِ اللّهِ لِيَشْتَرُواْ بِهِ ثَمَناً قَلِيلاً فَوَيْلٌ لَّهُم مِّمَّا كَتَبَتْ أَيْدِيهِمْ وَوَيْلٌ لَّهُمْ مِّمَّا يَكْسِبُونَ} صدق الله العظيم [البقرة:79].
Na Akasema Allah Ta3ala:{ Basi olewao wale ambao Wanandika kwenye kitabu kwa mikono yao alafu wanasema hi ni kutoka kwa Allah ili wanunuwe nayo thamani ndogo basi olewao kwa yale wanao andika kwa mikono yao na olewao kwa yale wanao pata} Sadaqa Allah Al3adhim [Albaqara].
Na hivo hivo mashetani watu walifanya kuandika na kubadilisha na kuongeza na kupunguza na kuzuwa katika sunna ya bayana Alnabawi ili wawe katika wanao towa hadithi waonekane kuwa wao wana hadithi nyengi ndipo Allah akasema:
قال الله تعالى: {إِذَا جَاءَكَ الْمُنَافِقُونَ قَالُوا نَشْهَدُ إِنَّكَ لَرَسُولُ اللَّـهِ وَاللَّـهُ يَعْلَمُ إِنَّكَ لَرَسُولُهُ وَاللَّـهُ يَشْهَدُ إِنَّ الْمُنَافِقِينَ لَكَاذِبُونَ ﴿١﴾ اتَّخَذُوا أَيْمَانَهُمْ جُنَّةً فَصَدُّوا عَن سَبِيلِ اللَّـهِ إِنَّهُمْ سَاءَ مَا كَانُوا يَعْمَلُونَ ﴿٢﴾} صدق الله العظيم [المنافقون].
Allah Ta3ala Asema:{ Pindi wakija wanafiki wanasema tunashuhudia kwamba wewe ni Mtume Wa Allah Na Allah anajua kua wewe ni Mtume Wake na Allah Ashuhudia kwamba wanafiki ni warongo (1) Wamefanya kuamini kwao ni kinga wakazuwia kwa njia ya Allah hakika wao mabaya wanayo yafanya (2)} Sadaqa Allah Al3adhim [Almunafiqin].
Alafu Allah akawaonesha vipi wanapinga njia ya Allah sio kwa upanga bali hatari zaidi ya panga lilo chongwa vikal ,bali kwajili wawe ni katika wanao towa mahadithi wakubwa katika sunna ya bayana Alnabawia kwa ulimi wa Mtume ambapo Qurani yake na suna ya bayana yake yote ni kutoka kwa Allah, lakini iki khalifu bayanayake moja katika muhakam ya Qurani yake basi ashawafundisha Allah kuwa ikija hadithi inao khitilifiana na Muhakam katika Qurani yake basi mujuwe hio hadithi sio kutoka kwa Allah madamu iko kinyume na muhaka wa Qurani yake, kwajili ya hivo Amisema Mola Mwenye Enzi:
قال الله تعالى: {وَيَقُولُونَ طَاعَةٌ فَإِذَا بَرَزُوا مِنْ عِندِكَ بَيَّتَ طَائِفَةٌ مِّنْهُمْ غَيْرَ الَّذِي تَقُولُ وَاللَّـهُ يَكْتُبُ مَا يُبَيِّتُونَ فَأَعْرِضْ عَنْهُمْ وَتَوَكَّلْ عَلَى اللَّـهِ وَكَفَىٰ بِاللَّـهِ وَكِيلًا ﴿٨١﴾ أَفَلَا يَتَدَبَّرُونَ الْقُرْآنَ وَلَوْ كَانَ مِنْ عِندِ غَيْرِ اللَّـهِ لَوَجَدُوا فِيهِ اخْتِلَافًا كَثِيرًا ﴿٨٢﴾} صدق الله العظيم [النساء].
Allah Ta3ala Asema:{ Na wanasema tumeti'ii na wakitoka kutoka kwako wanalaza kipoti kati yao sio yale ulio yasema na Allah Anandika yale wanao yalaza basi achana nao na umtegeme Allah na tosha kwa Allah kua Wakili (81) Lakini wakitadabar hi Qurani na lau ingekua sio kutoka kwa Allah wangepata ndani yake khitilafu nyingi (82)} Sadaqa Allah Al3adhim [Alnisa].
Lakini wale ambao hawajuwi kuwa hadithi bayana hio nikutoka kwa Allah kama vile Quran kutoka kwa Allah hamujafahamu kuwa fatwa ya Allah katika muhkam qurani yake kuwa amifanya muhkam katika Qurani yake ndio maregeo kwa sunna ya bayana kwakuwa sunna ya bayana ya Qurani yake yatoka kwa Allah, na kusadikisha fatwa ya Allah katika muhkam Qurani yake katika maneno yake akisema:
في قوله الله تعالى: {فَإِذَا قَرَأْنَاهُ فَاتَّبِعْ قُرْآنَهُ ﴿١٨﴾ ثُمَّ إِنَّ عَلَيْنَا بَيَانَهُ ﴿١٩﴾} صدق الله العظيم [القيامة].
Allah Ta3ala Asema:{ Na Tunapo kukusomea basi fwata Quraniyake (18) Alafu hakika juu yetu kubainisha(19)} Sadaqa Allah Al3adhim [Alqiyama].
Enye waislamu na manasara na mayahudi na watu wote mimi ni Almahdi Almuntadhar khalifa wa Allah katika hi Ardhi ju yenu naenda mbio kwajili kuleta usalama wa ulimwengu kati ya watu raia waulimwengu na mupate kuishi maisha ya amani baina ya mwislamu na kafiri na nimiamirishwa nifanye uwadilifu kati yenu wote na nisiwalazimishe kuamini bali niwalike kumwabudu Allah peke yake kwa busara kutoka kwa Allah, na mwenye kutaka amini na mwenye kutaka akufuru hakuna hoja kati yetu na nyinyi, kusadikisha kauli ya mola mlezi:y
تصديقاً لقول الله تعالى: {فَلِذَلِكَ فَادْعُ وَاسْتَقِمْ كَمَآ أُمِرْتَ وَلاَ تَتَّبِعْ أَهْوَآءَهُمْ وَقُلْ ءَامَنتُ بِمَآ أَنزَلَ اللَّهُ مِن كِتَابٍ وَأُمِرْتُ لأَعْدِلَ بَيْنَكُمُ اللَّهُ رَبُّنَا وَرَبُّكُمْ لَنَآ أَعْمَالُنَا وَلَكُمْ أَعْمَالُكُمْ لا حُجَّةَ بَيْنَنَا وَبَيْنَكُمُ اللَّهُ يَجْمَعُ بَيْنَنَا وَإِلَيْهِ الْمَصِيرُ} صدق الله العظيم [الشورى:15].
Allah Ta3ala Asema:{ Na Kwa Hayo lingania na uwe na msimamo kama ulivo agizwa na wala usifwate matamanio yao na useme nimeamini kwa yale alio teremsha Allah kwa kitabu na nimeagizwa nifanye uwadilifu baina yenu Allah ni Mola Mlezi Wtu na Mola Mlezi Wenu tuna amalo yetu na muko na amali yenu hakuna hoja baina yetu na baina yenu Allah atakusanya baina yetu na kwake Ndio mamuzi } Sadaqa Allah Al3adhim [Alshura:15].
Na nimeagizwa kuondowa dhulama ya Binadam ju ya ndugiyake Binadam na nichukuwe mali ya matajiri waislamu na makafiri kwa haki kiwango kilo pimwa niwape maskini wakislamu na maskini makafiri sawa sawa bila kubaguwa muislamu na kafiri wala kubaguwa kwa chochote baina ya watu wote nyote mumitoka kwa Adam na Adam atukana na mchanga, basi mcheni Allah enye wenye akili, pindi mukikata basi nawahadirisha na sayari saqar itakao watokezea kwa watu siku itakapo tangulia usiku kuitangulia mchana usiku wa kudhihirika Almahdi Almuntadhar kwa aya kutoka mbinguni mutabaki shingo zenu kwa utisho wake munamnyenyekea khadhilin ama awape adhabu kipande ya hio kutokana na sayari ya arajifa kipande ya hio, kusadikisha kauli ya Mola Mlezi:
تصديقاً لقول الله تعالى: {فَذَرْهُمْ حَتَّىٰ يُلَاقُوا يَوْمَهُمُ الَّذِي فِيهِ يُصْعَقُونَ ﴿٤٥﴾ يَوْمَ لَا يُغْنِي عَنْهُمْ كَيْدُهُمْ شَيْئًا وَلَا هُمْ يُنصَرُونَ ﴿٤٦﴾ وَإِنَّ لِلَّذِينَ ظَلَمُوا عَذَابًا دُونَ ذَٰلِكَ وَلَـٰكِنَّ أَكْثَرَهُمْ لَا يَعْلَمُونَ ﴿٤٧﴾} صدق الله العظيم [الطور].
Allah Ta3ala Asema:{ Basi waache mpaka wakutane na siku yao watakapo hilikishwa(45) Siku ambayo hila zao hazitawafaa hata kidogo, wala wao hawatanusuriwa(46)Na hakika walio dhulumu watapata adhabu nyengine isiyo kuwa hii, lakini wengi wao hawajui(47)}Sadaqa Allah Al3adhim
Na labda huwenda moja kati ya wapendwa wangu ma Alanssar Alsabiqina Alaakhyar akasema: ewe imamu wangu hi manake ni kuwa mtabiri liniin ni kweli itaadhibu wale walodhulumu katika ya tarehe 26-9-2011?", kutoka hapo alafu anamjibu Almahdi Almuntadhar na nasema amisema Allah:
قال الله تعالى: {قُلْ إِنْ أَدْرِي أَقَرِيبٌ مَّا تُوعَدُونَ أَمْ يَجْعَلُ لَهُ رَبِّي أَمَدًا} صدق الله العظيم [الجن:25].
Allah Ta3ala Asema:{Sema: Sijui kama yapo karibu hayo mnayo ahidiwa, au Mola wangu Mlezi atayawekea muda mrefu} Sadaqa Allah Al3adhim [Aljin:25].
Hakika mimi ni Almahdi Almuntadhar nahadirisha watu kuwa wako katika zama za masharti ya saa kubwa na kuwa juwa limefikia mwezi na nawahadhirisha kutokana na alrajifa na sayari ya saqar bada hio, siku usiku itatangulia mchana, na wahadhirisha kutokana na fatwa zao kutokana na adhabu ya Allah alfu wanasema hi ni ghadhabu za hali ya mazigira! basi wajuwe kuwa hali ya mazingira inaghadhibika na ghadhabu za Allah ju yao na inawangamiza kwa idhni ya Allah na haitakiwi kwa mbingu na ardhi zi maasi Alah na iuwe mtu bila idhni ya Allah kwa sababu zinamogopa Allah na yamasikiza na kumtii amri yake Allah, Akasema Mola Mlezi:
وقال الله تعالى: {ثُمَّ اسْتَوَى إِلَى السَّمَاءِ وَهِيَ دُخَانٌ فَقَالَ لَهَا وَلِلْأَرْضِ اِئْتِيَا طَوْعًا أَوْ كَرْهًا قَالَتَا أَتَيْنَا طَائِعِينَ} صدق الله العظيم [فصلت:11].
Allahn Ta3ala Asema:{ Alafu Akastawi Kwa Mbingu Nayo ni Moshi Akaiambia Na Ardhi mutanijia kwa hiyari ama kwa kuchukia Zikasema Tutakuja tumeti'ii} Sadaqa Allah Al3adhim [Fusilat:11].
Kufru kubwa sana kwa wale wana nasbisha (kawarith) hali ya mazingara kuwa na mitetemeko ya ardhi na mangamifu tafauti wanasibisha nikutokana na hali ya mazingira
Na kupinduka hali ya mazigira ya ulimwengu pasi na amri kutokana na Allah Alwa7hid Alqahar; hao ni kama wanyama bali wao ni wapotevu zaidi kwa njia, ewe Mola Mlezi tufungulie beina yetu na mashetani wa kijini na watu kwa haki na wewe ni mbora wakufunguwa.
Na Salam Juu Ya Mitume Na walio wafwata kwa ihsan mpaka siku ya dini, Na Alhamdulillah Rabi Alalamin..
Khalifa Wa Allah Katika Ardhi; Al'Imam Al'Mahdi Nasser Muhammad Al'Yamani.
وسلام ٌعلى المرسلين ومن تبعهم بإحسان إلى يوم الدين، والحمد لله ربّ العالمين..
خليفة الله في الأرض؛ الإمام المهدي ناصر محمد اليماني.
ـــــــــــــــــــــ
https://albushra-islamia.org./showthread.php?t=4401