العقل يوافق القرآن، والعقل حكمٌ عدلٌ..
Akili Inawafikiana Na Al'Quran, Na Akili Ni Hakimu Kwa Uwadilifu..
Hivi Hamuoni Kwamba Akili Ndio Inatafautisha Baina Ya Haki Na Batili ?
Lakini Akitumia Mwenyewe Akatafakari Basi Itampa Fatwa Mwenyewe Kwa Haki, Ispokua Allah Hakuipa Utawala Juu Ya Mtu Na Hakuna Kitu Kwake Akili Ispokua Iseme Kwa Mtu Hi Ni Kauli Ya Haki Kwajili Inakubaliana Na Akili Na Mantik, Eee Kwa Hakika Kwa Kuto Tumia Akili Ndio Sababu Ya Kuingia Makafiri Motoni Na Kwajili Ya Hivo Walisema:
{وَقَالُوا لَوْ كُنَّا نَسْمَعُ أَوْ نَعْقِلُ مَا كُنَّا فِي أَصْحَابِ السَّعِيرِ (١٠)} صدق الله العظيم [الملك]
{Na Wakasema Lau Tungeli Sikia Ama Tungetumia Akili Hatungekua Katika Watu Wa Motoni (10)} Sadaqa Allah Al3adhim [Almulk].
Kwahivo Enyi Kaum Hakika Sharti Ya Kufwata Haki Nayo Ni Kutumia Akili. Kwajili Ya Hivo Amisema Allah Ta3ala:
{قَدْ بَيَّنَّا لَكُمْ الآيَاتِ لَعَلَّكُمْ تَعْقِلُونَ (17)} صدق الله العظيم [الحديد]
Allah Ta3ala Asema:{Hakika Tumewabainishia Ma Aya Huwenda Mukatumia Akili (17)} Sadaqa Allah Al3adhim [Alhadid].
Na Akasema Allah Ta3ala:
{قَدْ بَيَّنَّا لَكُمْ الآيَاتِ إِنْ كُنْتُمْ تَعْقِلُونَ} صدق الله العظيم [آل عمران:118]
Allah Ta3ala Asema:{Hakika Tumewabainishia Ma Aya Ikiwa Nyinyi Munatumia Akili} Sadaqa Allah Al3adhim [Alimran:118].
Na Nyinyi Hivi Sasa Muko Katika Zama Za Mazungumzo Kabla Ya Kudhihiri Na Wala Hatoweza Al'Mahdi Al'Muntadhar Kwamba Awatowe Kutoka Kizani Kwenda Kwa Mwangaza Ikiwa Hamutofwata Kitabu Cha Allah Al'Quran Al3adhim, Kusadikisha Kauli Ya Allah Ta3ala:
{ كِتَابٌ أَنزَلْنَاهُ إِلَيْكَ لِتُخْرِجَ النَّاسَ مِنْ الظُّلُمَاتِ إِلَى النُّورِ بِإِذْنِ ربّهم إِلَى صِرَاطِ الْعَزِيزِ الْحَمِيد} صدق الله العظيم [آل عمران:118]
Allah Ta3ala Asema:{Kitabu Tumekiteremsha Kwako Ili Uwatowe Watu Kwenye Kiza Kwenda Kwenye Mwangaza Kwa Idhini Ya Mola Mlezi Wao Kwa Njiya Ya Al3aziz Al'Hamid} Sadaqa Allah Al3adhim [Alimran:118].
كِتَابٌ أُنزِلَ إِلَيْكَ فَلاَ يَكُن فِي صَدْرِكَ حَرَجٌ مِّنْهُ لِتُنذِرَ بِهِ وَذِكْرَى لِلْمُؤْمِنِينَ (2) اتَّبِعُواْ مَا أُنزِلَ إِلَيْكُم مِّن رَّبِّكُمْ وَلاَ تَتَّبِعُواْ مِن دُونِهِ أَوْلِيَاء قَلِيلاً مَّا تَذَكَّرُونَ (3)} صدق الله العظيم [الأعراف]
Allah Ta3ala Asema:{ Kitabu kilicho teremshwa kwako - basi isiwe dhiki kifuani kwako kwa ajili yake, upate kuonya kwacho, na kiwe ni ukumbusho kwa Waumini (2) Fuateni mliyo teremshiwa kutoka kwa Mola Mlezi wenu, wala msifuate rafiki au walinzi wengine badala yake. Ni machache mnayo yakumbuka (3)} Sadaqa Allah Al3adhim [Alaaraf].
Na Kusadikisha Kauli Ya Allah Ta3ala:
{كذَلِكَ أَنزَلْنَاهُ حُكْمًا عَرَبِيًّا وَلَئِنِ اتَّبَعْتَ أَهْوَاءهُم بَعْدَ مَا جَاءكَ مِنَ الْعِلْمِ مَا لَكَ مِنَ اللّهِ مِن وَلِيٍّ وَلاَ وَاقٍ (37)} صدق الله العلي العظيم [الرعد]
Allah Ta3ala Asema:{Na ndio kama hivi tumeiteremsha Qur'ani kuwa ni hukumu kwa lugha ya Kiarabu. Na ukifuata matamanio yao baada ya kukujia ilimu hii, hutakuwa na rafiki wala mlinzi mbele ya Mwenyezi Mungu (37)} Sadaqa Allah Al3adhim [Alraad].
Na Vipi Munanitaka Nifwate Yanao Khalifu Kwa Muhkam ilio Wazi Kitabu Cha Allah Enyi Majahili ! Na Wallahi Yule Ambae Hapana Mola Ispokua Yeye Wala Hakuna Wa Kuabudiwa Ila Yeye Lau Watakubaliana Kwa Riwaya Mapokezi Juu Ya Hadithi Yoyote Wote Binadamu Na Majini Basi Waitowe Wote Kwamba Yatoka Kwa Muhammad Mtume Wa Allah- Swala Allahu Aleyhi Wa Alihi Wa Salam- Alafu Nipate Kwamba Inakhalifu Kwa Muhakam Ilio Wazi Kitabu Cha Allah Basi Hakika Mimi Sitoifwata Hi Hadithi Na Nitavurunyuwa Kwa Kiatu Cha Mgu Wangu Kuivurunywa Kwasababu Kwamba Sio Kutoka Kwa Allah Madamu Imekuja Imekhalifu Kwa Muhakam ilio Wazi Kitabu Cha Allah Al'Quran Al3adhim Japo Kua Imeikanusha Akili Yangu Kabla Sijapata Kwamba Imekhalifu Kwa Kitabu Cha Allah Mola Wangu Mlezi, Wala Sio Akili Ya Al'Mahdi Al'Muntadhar Imekanusha Hi Hadithi Kwamba Mwanamke Ahamishwe Mbali Na Watu Wake Mwaka Mzima Pindi Akitenda Fahisha; Bali Wallahi Ambae Hapana Mola Wa Kuabudiwa Pasi Na Yeye Kuwa Hata Akili Ya Al'3amri Akiwa Atahukumu Akili Yake Atona Kuwa Inakata Hi Hadithi Akili Na Mantik Alafu Mumepata Hukmu Kwenye Kitabu Cha Allah Nayo Ni Ile Ilio Hukumu Akili.
Lakini Nifanye Suluhisho Gani Kwenu Enyi Kaumu? Lakini Wallahi Nigekua Niko Nazo Ma Akili Nigewapa Nyinyi Zawadi Na Hakuna Nyuma Yake Jizya Lakini Kwa Maskitiko Sina Kwangu Ma'Akili Niwagawanyie Nyinyi, Na Alhamdulillah Ambae Ametafautisha Baina Binadamu Na Wanyama Kwa Akili Na Lakini Na Wallahi Kwamba Ikiwa Hatotumia Akili Yake Basi Yeye Kama Wa'Nyama Ambao Hawatafakari, Kusadikisha Kauli Ya Allah Ta3ala:
{أَمْ تَحْسَبُ أَنَّ أَكْثَرَهُمْ يَسْمَعُونَ أَوْ يَعْقِلُونَ إِنْ هُمْ إِلَّا كَالْأَنْعَامِ بَلْ هُمْ أَضَلُّ سَبِيلًا} صدق الله العظيم [الفرقان:44]
Allah Ta3ala Asema:{Au wewe unadhani kwamba wengi wao wanasikia au wanaelewa Hao hawakuwa ila ni kama nyama hoa tu, bali wao wamepotea zaidi njia} Sadaqa Allah Al3adhim [Alfurqan:44].
Ndio Eee Mola Mlezi Wangu Na Amesadiki Allah Na Nini Uwingi Wa Mangombe Ambao Wale Hawatafakari, Na Kwajili Ya Hivo Hawatofwata Ukumbusho Na Wala Hawatomfwata Al'Mahdi Al'Muntadhar Mpaka Itangulie Usiku Mchana, Wa Ina Lillah Wa Ina Ileyhi Laraji3un.
Na Salam Juu Ya Mitume, Na Alhamdulillah Rabilalamin..
Anae Lingania Akili Na Mantik Na Kitabu Cha Allah Cha Haki; Al'Imam Al'Mahdi Nasser Muhammad Al'Yamani .
____________________________
https://albushra-islamia.org./showthread.php?p=4581