Al’Imam Al’Mahdi Nasser Muhammad Al’Yamani
الإمام المهدي ناصر محمد اليمانيّ
29 - رجب - 1444 هـ
20 - 02 - 2023 مـ
05:47 صباحًا
(Kulingana Na Taqwimu Rasmi Ya Umul Qura)
(بحسب التقويم الرسمي لأم القرى)
[لمتابعة رابط المشاركة الأصلية للبيان]
https://albushra-islamia.org./showthread.php?p=407459
_________
Mridhike na yule ambaye Mungu amemchagua.
اِرتَضوا بِمَن اِختَاره الله ..
Kutoka kwa Khalifa wa Mungu duniani kote hadi kwa watu wa Yemen hasa na ulimwengu kwa ujumla; Viongozi wao, na makundi yao, na watu wao kwa pamoja, sikilizeni na mutie akili jambo hili kutoka kwa Mwenyezi Mungu, Mola Mlezi wa walimwengu wote, ili nipate kulifikisha kama ifuatavyo.
Kwa hiyo anayekataa chaguo la Mungu, tutatazama na kuona: Je, Mungu ametukuka katika jambo Lake? Na mutajua ukweli wa Kauli ya Allah Ta3ala:
{وَرَبُّكَ يَخْلُقُ مَا يَشَاءُ وَيَخْتَارُ ۗ مَا كَانَ لَهُمُ الْخِيَرَةُ ۚ سُبْحَانَ اللَّهِ وَتَعَالَىٰ عَمَّا يُشْرِكُونَ ﴿٦٨﴾ وَرَبُّكَ يَعْلَمُ مَا تُكِنُّ صُدُورُهُمْ وَمَا يُعْلِنُونَ ﴿٦٩﴾ وَهُوَ اللَّهُ لَا إِلَٰهَ إِلَّا هُوَ ۖ لَهُ الْحَمْدُ فِي الْأُولَىٰ وَالْآخِرَةِ ۖ وَلَهُ الْحُكْمُ وَإِلَيْهِ تُرْجَعُونَ ﴿٧٠﴾}
Sadaqa Allah Al3adhim: [Sura:Alqasas].
Na Salam Ju Ya Mitume Na Alhamdulillah Rabil3alamin..
Khalifa Wa Allah Ju Ya Ulimwengu Wote Al’Imam Al’Mahdi Nasser Muhammad Al’Yamani.
خليفةُ الله على العالَم بأسرِه الإمام المَهديّ
ناصر محمد اليمانيّ.
____________